• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Madiwani Nsimbo wahimizwa kuhamasisha Wananchi kujiunga na CHF iliyoboreshwa.

Imewekwa: December 23rd, 2020

Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wameombwa  kutumia mikutano ya kisiasa  kutoa Elimu na kuhamasisha Wananchi katika Kata zao juu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF Ulioboreshwa.

Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Bw.Mohamed Ramadhani katika kikao cha Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango kilichoketi 22 Desemba 2020 kujadili taarifa za Mwezi Novemba 2020.

Mkurugenzi Mohamed amewaambia Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kuwa Muitikio mdogo wa Wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF Ulioboreshwa Nsimbo  kumechangiwa pia  kwa sehemu kubwa na  Madiwani  kutotumia Mikutano ya Hadhara kuhamasisha Wananchi kujiunga na Mfuko huo licha Halmashauri kujitahidi kuhamasisha.

Endapo Madiwani na Wataalamu katika ngazi ya Kata watashirikiana vema kuhamasisha Wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF ulioboreshwa itasaidia kupatikana kwa fedha za kutosha katika Vituo vya kutolea huduma za Afya jambo litakalosaidia kwa sehemu kubwa kuimarika kwa huduma mbalimbali za Afya  pamoja na  upatikanaji wa Dawa kwa uhakika amesema Mkurugenzi Mohamed.

 Mkurugenzi Mohamed Ameongeza kuwa ni vema wataalamu wa Afya katika ngazi za Kata wakashirikishwa katika mikutano ya hadhara inayofanywa na madiwani ili kuwapa fursa Wataalamu hao kujenga uelewa kwa Wananchi juu ya namna huduma za Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa zinavyopatikana kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia Wananchi kuwa na uelewa na hivyo kupunguza malalamiko ambayo wakati mwingine yamekuwa yakisababishwa na Uelewa mdogo wa Wananchi kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa.

Aidha Mkurugenzi Nsimbo amewaomba Madiwani pia kushauri  vema  Bodi za Vituo vya kutolea huduma za Afya  ili kuhakikisha kuwa Dawa zinazopendekezwa kununuliwa zinaakisi mahitaji halisi ya eneo husika ili kuepuka changamoto ya kutopatikana dawa katika baadhi ya maeneo.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUANZA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KUTOKA NSIMBO-DC December 19, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPENDEKEZWA KUJIUNGA MAFUNZO YA UFUNDI STADI CHUO CHA VETA MPANDA NA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MSANGINYA MWAKA 2021 December 20, 2020
  • KATAZO LA MIFUKO YA PLASTIKI May 20, 2019
  • ACHANA NA MIFUKO YA PLASTIKI May 20, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Wananchi Nsimbo punde kuhudumiwa katika Hospitali ya Wilaya.

    January 06, 2021
  • RC Katavi aipongeza Nsimbo kwa Usimamizi mzuri wa Miradi

    January 05, 2021
  • Madiwani Nsimbo wahimizwa kuhamasisha Wananchi kujiunga na CHF iliyoboreshwa.

    December 23, 2020
  • Naibu Waziri TAMISEMI aipongeza Nsimbo kwa harakati za Ujenzi wa Sekondari.

    December 15, 2020
  • Angalia zote

Video

Mwenyekiti Nsimbo akemea Uchangiaji holela wa vyombo vya kunywea pombe vilabuni
Video zaidi

Quick Links

  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa
  • Orodha ya waheshimiwa madiwani
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Video mbalimbali
  • Muundo wa Halmashauri
  • Picha mbalimbali
  • Fomu mbalimbali

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : +2552955164

    Simu: +255713992124

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa