• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Ufugaji Nyuki

WASIFU WA KITENGO CHA NYUKI:

Kitengo cha Nyuki ni moja kati ya Vitengo 6 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.Kitengo hikikinabeba kinajukumu la Usimamizi Uratibu na Ufuatiliaji wa mazao ya Nyuki ndani ya Halmashauri,Awali Kitengo hiki kilikuwa sehemu ya Idara ya Ardhi na Maliasili.

Kitengo cha Nyuki kinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria,Kanuni na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Ofisi ya Raisi TAMISEMI,Wizara ya Maliasili na Utalii,pamoja na Wadau mbalimbali wa Maendeleo.

Wataalamu wa Idara:

Wataalamu wa Kitengo cha Nyuki Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ni kama ifuatavyo;

Jina:Said Abdallah Mpumbi

Cheo:Kaimu Mkuu wa Kitengo

Elimu:Stashahada ya Ufugaji Nyuki-(Chuo cha Nyuki Tabora)

Mawasiliano:

Simu: +255742778079

Barua pepe: saidabdallah65@gmail.com


Jina:Daudi Seuri Olodi

Cheo:Afisa Nyuki II

Elimu:Stashahada ya Ufugaji Nyuki-(Chuo cha Misitu Olmotonyi-Arusha)

Mawasiliano:

Simu:+255684902051

Barua pepe: olodiseuri3@gmail.com

Jina:BenardJulius Ntiliyo

Cheo:Afisa Nyuki III

Elimu:Astashahada ya Ufugaji Nyuki-(Chuo cha Nyuki Tabora)

Mawasiliano:

Simu: +255763242729

Barua pepe: ntiliyob@gmail.com

 

Majukumu ya Kitengo cha Nyuki

  • Kutoa elimu na ushauri kwa Wafuga Nyuki ndani ya Halmashauri  juu ya namna bora ya Ufugaji wa Nyuki,na Uvunaji mazao yake kwa Njia za kitaalamu.
  • Kukusanya na kuandaa  Takwimu za Mazao ya Nyuki na Wafugaji wa Nyuki ndani ya Halmashauri
  • Kutoa vibali vya Ufugaji na Ukusanyaji wa ushuru wa  Usafirishaji wa Mazao ya Nyuki ndani ya Halmashauri
  • Kuhamasisha Jamii juu ya Utunzaji wa Mazingira kupitia shughuli za Ufugaji Nyuki.
  • Kuondoa nyuki wanaodhuru katika makazi ya Watu ndani ya Halmashauri.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUANZA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KUTOKA NSIMBO-DC December 19, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPENDEKEZWA KUJIUNGA MAFUNZO YA UFUNDI STADI CHUO CHA VETA MPANDA NA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MSANGINYA MWAKA 2021 December 20, 2020
  • KATAZO LA MIFUKO YA PLASTIKI May 20, 2019
  • ACHANA NA MIFUKO YA PLASTIKI May 20, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Wananchi Nsimbo punde kuhudumiwa katika Hospitali ya Wilaya.

    January 06, 2021
  • RC Katavi aipongeza Nsimbo kwa Usimamizi mzuri wa Miradi

    January 05, 2021
  • Madiwani Nsimbo wahimizwa kuhamasisha Wananchi kujiunga na CHF iliyoboreshwa.

    December 23, 2020
  • Naibu Waziri TAMISEMI aipongeza Nsimbo kwa harakati za Ujenzi wa Sekondari.

    December 15, 2020
  • Angalia zote

Video

Mwenyekiti Nsimbo akemea Uchangiaji holela wa vyombo vya kunywea pombe vilabuni
Video zaidi

Quick Links

  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa
  • Orodha ya waheshimiwa madiwani
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Video mbalimbali
  • Muundo wa Halmashauri
  • Picha mbalimbali
  • Fomu mbalimbali

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : +2552955164

    Simu: +255713992124

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa