Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za Mtendaji wa Kijiji daraja la III (Nafasi 8), Dereva daraja la II (Nafasi 5) na Msaidizi wa Kumbukumbu daraja la II (Nafasi 3). kwa maelezo zaidi fungua kiunganishi cha tangazo hapa chini.
TANGAZO LA KAZI Jul 09, 2024.pdf
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa