Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 26/09/2024 hadi 30/09/2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi watakaofaulu usaili huo. Ratiba ya usaili na orodha ya wasailiwa imeambatanishwa. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA NAFASI YA MPISHI, MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU, DEREVA NA MTENDAJI WA KIJIJI.pdf
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa