WASIFU WA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII
Maendeleo ya Jamii kama dhana ni hatua mbalimbali zinazowawezesha watu kutambua uwezo walionao wa kubaini matatizo na kutumia fursa na rasilimali zilizopo kujipatia na kujiongezea kipato hivyo kujiletea maisha bora zaidi.
Idara ya maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo inabeba Jukumu kubwa la kuhakikisha Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wanabadilika kutoka fikra na mtazamo asilia wa maendeleo na kuwa na mtazamo wa maendeleo unaokwenda na wakati uliopo na hivyo kushiriki kikamilifu katika kuamua na kutekeleza mipango ya maendeleo yao. Sekta ya maendeleo ya Jamii ni MTAMBUKA ikihusisha sekta mbalimbali kwa kuwa katika maeneo yote hayo ushiriki wa watu ni muhimu na unazingatiwa.
MUUNDO WA IDARA
Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kama ilivyo kwa Halmashauri nyingine kimuundo ina vitengo vitano (5) ambavyo ni Kitengo cha Maendeleo ya Jamii,Kitengo cha kudhibiti UKIMWI, Jinsia na Watoto, Maendeleo ya Vijana, Kitengo cha Ustawi wa Jamii na kitengo Uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.Shughuli zote za Idara kisekta kama ilivyoelezewa katika muundo zinasimamiwa na kuratibiwa na Maafisa Maendeleo ya Jamii Ngazi ya Wilaya.
Wataalamu wa Idara:
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ina Maafisa Maendeleo ya Jamii 14. Chini ya Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii(W) wataalamu hawa wamegawanyika katika makundi mawili;
Wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ni hawa wafuatao;
Jina:Hamisi Y.Mnubi
Cheo:Mkuu wa Idara
Elimu: Stashahada ya Uzamili ya Maendeleo ya Jamii-
(Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru- Arusha)
Mawasiliano:
Simu
- +255754925367
-+255784925367
Barua pepe:
Jina: Alex Wema Magessa
Cheo: Afisa Maendeleo ya Jamii(W)
Elimu:
Shahada ya Uzamili ya Afya ya Jamii
(Muhimbili University of Helath and Allied Sciences-Dar es salaam),
Shahada ya kwanza ya Sosholojia,
(Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino- Mwanza)
Mawasiliano:
Simu;+
Barua pepe;
Jina:Simon Angulile Kajange
Cheo:Afisa Maendeleo ya Jamii(W)
Elimu:
(Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru- Arusha)
Mawasiliano;
Simu:
+255752633286
+255625846110
Barua pepe:
Jina:Jenifer F.Mshanga
Cheo:Afisa Maendeleo ya Jamii(w)
Elimu: Shahada ya Sosholojia (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam)
Mawasiliano:
Simu:
+255756464666
+255625394158
Barua pepe: fortunatejenifa@gmail.com
Jina:Dianarose Munuo
Cheo:Afisa Maendeleo ya Jamii (W)
Elimu: Shahada ya Maendeleo ya Uchumi na Jamii
Mawasiliano:
+255752588030
+255782051337
Barua pepe: dianabenjamin@yahoo.com
Jina:Ojuku Martin Mgedzi
Cheo:Afisa Ustawi wa Jamii (W)
Elimu: Stashahada ya Ustawi wa Jamii
(Chuo Kikuu cha Dar es Salaam)
Mawasiliano:
+255763430041
+255623668647
Barua pepe: 0jukumgedzi@gmail.com
MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII, USTAWI WA JAMII NA VIJANA
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa