Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Eng. Stephano B. Kaliwa(ambaye hayuko kwenye picha) amewakabidhi maafisa ugani kilimo vishkwambi 15(kumi na Tano) Ikiwa ni vitendea kazi vilivyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo na kukabidhiwa mkoa wa Katavi na Naibu Waziri wa nchi , ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji Mh. Stanslaus Nyongo wakati wa kilele Cha wiki ya mwanakatavi iliyotamatika hapo Jana tarehe 31/11/2024 Mpanda Katavi
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa