• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI YANZINDULIWA KATIKA KATA YA IBINDI

Imewekwa: April 22nd, 2024

Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri, amezindua zoezi la kampeni ya chanjo ya HPV mahususi kwa ajili ya kuwakinga Wasichana dhidi ya Saratani ya Mlango wa kizazi.

Chanjo hIi inatolewa kwa Wasichana wa umri wa miaka 9 hadi 14. Chanjo ni salama na bure, imethibitishwa na Wizara ya Afya na shirika la Afya Duniani na Tanzania, ilianza kutumika kwa 2014.

Aidha Mganga Mkuu amewasihi Wazaz na Walimu wahakikishe watoto hao wanachanjwa ili kuwaongezea kinga dhidi ya HPV kwani madhara ya Saratani ya Mlango wa kizazi ni makubwa sana ikiwa ni pamoja

Kupungukiwa damu, kusabambaa kwenye mapafu, mpaka saratani ya mifupa na kusababisha kifo

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA UKUSANYAJI WA MAPATO February 02, 2026
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA MRADI WA KITUO CHA AFYA IBINDI August 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA November 13, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO MGUU SAWA KUTOA HUDUMA ZOTE MUHIMU

    February 17, 2026
  • HOSPITALI YA WILAYA YA NSIMBO YATOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA MARA YA KWANZA

    February 12, 2026
  • ZOEZI LA UHAKIKI NA UGAWAJI KADI ZA BIMA YA AFYA LAANZA RASMI NSIMBO

    February 06, 2026
  • HAKIKISHEN MNAWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI-DC MPANDA

    January 22, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa