Mkurungenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Nsimbo anawatakia Krismasi njema yenye furaha na amani, pamoja na Mwaka Mpya uliojaa mafanikio na baraka tele. Asanteni kwa ushirikiano wenu na tunatazamia Mwaka mwingine wa maendeleo na mafanikio pamoja. Heri ya Krismass na Mwaka Mpya.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa