Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo anawatangazia wananchi wote kuwa zoezi la Kitaifa la kampeni ya Mwezi wa afya na lishe ya Mtoto imeanza rasmi kuanzia Juni 1 2025 hadi Juni 30 2025 Kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 11 jion kila siku kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya. Huduma zitakazotolewa ni Utoaji wa matone ya Vitamini A, elimu ya Lishe pamoja na kufanya tathmini ya Hali ya lishe kwa watoto, huduma zote ni bure kabisa kwa watoto chini ya Miaka Mitano.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa