• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Nsimbo yajizatiti mapambano wimbi la tatu Ugonjwa wa Korona

Imewekwa: June 30th, 2021

Katika jitihada za kukabiliana na tishio la wimbi la tatu la Ugonjwa Korona Nchini, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kupitia Ofisi ya Mganga mkuu wa Wilaya Nsimbo imeendelea kuratibu na kuandaa mikakati mbalimbali ya kukabiliana na Ugonjwa huo lengo likiwa ni kuhakikisha kuwa Wananchi wanakuwa salama na tahadhari zinaendelea kuchukuliwa.

Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauriya Wilaya ya Nsimbo Bw.Wambura Warioba amesema katika jitihada za kukabiliana na tishio la Wimbi la Tatu la Ugonjwa wa Korona Halmashauri imejipanga kutoa elimu na hamasa kwa Wananchi lengo likiwa ni kujenga uelewa juu ya namna ya kujikinga na Ugonjwa huo

Dkt.Warioba amesema tayari Halmashauri imeanza kutoa Elimu kwa Watumishi wa kada mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ambapo Watumishi wa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wamejengewa uwezo wa namna ya kujikinga na Ugonjwa huo wa Korona

Aidha Dkt.Warioba amesema Elimu na Hamasa itaendelea kutolewa kwa Wananchi juu ya mbinu na njia mbalimbali za Kisayansi zinazopaswa kutumika kujikinga ana Ugonjwa wa Korona ambapo timu ya Elimu na Hamasa itazunguka katika maeneo yote ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

Amesema ni muhimu kwa Wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Korona kwa kuhakikisha kuwa Wanavaa Barakoa kwa usahihi katika maeneo yote ya mikusanyiko hususani masoko,zahanati,Shuleni na katika nyumba za Ibada ili kudhibiti kuenea kwa Ugonjwa huo.

Ameeleza kuwa endapo Wananchi watazingatia njia zote za Kitaalam za kukabiliana na Ugonjwa wa Korona Mkoa wa Katavi na Nsimbo kwa Ujumla utabaki salama.

Matangazo

  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,SHULE YA SEKONDARI NSIMBO MWAKA WA MASOMO 2022/2023 April 08, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DED awashukia Watendaji Nsimbo, Awataka kuacha Visingizio,kukamiilisha miradi ndani ya muda uliopangwa.

    April 21, 2022
  • Mwenyekiti Nsimbo awataka Watendaji kukamilisha Malengo kuelekea Mwishoni mwa Mwaka wa Fedha

    April 21, 2022
  • ORODHA YA MAJINA WALIOCHAGULIWA KUFANYA KAZI YA KUKUSANYA TAARIFA ZA MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO

    March 23, 2022
  • Kaimu DED Nsimbo akagua Ujenzi Miradi Kata ya Ugalla, Asisitiza maandalizi ya manunuzi ya Vifaa kwa wakati kutoathiri kasi ya Ujenzi.

    March 22, 2022
  • Angalia zote

Video

ZIara ya Naibu Waziri OR TAMISEMI Mh.David Silinde kukagua Ujenzi wa Madarasa Nsimbo DC
Video zaidi

Quick Links

  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa
  • Orodha ya waheshimiwa madiwani
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Video mbalimbali
  • Muundo wa Halmashauri
  • Picha mbalimbali
  • Fomu mbalimbali

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : +255739992124

    Simu: +255787992124

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa