• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Ujenzi Shule ya Sekondari ya Wasichana Kapalala washika kasi.

Imewekwa: February 7th, 2022

Pichani:Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wakiwa eneo la Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kapalala 07 Februari 2022 walipotembelea eneo hilo kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Mradi huo.

Na:John Mganga-DIO

Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kapalala unaotekelezwa kupitia Mpango wa Kuinua Ubora wa Elimu ya Sekondari Nchini SEQUIP T katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo umeanza kutekelezwa kwa kasi nzuri na ya kuridhisha Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo imejiridhisha.

Katika Ziara ya Wakuu wa Idara na Vitengo Nsimbo  Tarehe 7 Februari 2022 kukagua maendeleo ya mradi huo walijiridhisha kuendelea kwa shughuli zote za Ujenzi ambapo Tayari vifaa mbalimbali vya Ujenzi ikiwemo matofari mchanga na kokoto vilikuwa eneo la mradi huku shughuli ya Uchimbaji wa Msingi kwa baadhi ya Majengo ukiendelea.

Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ni moja kati ya Halmashauri Nchini zilizopokea fedha kwa ajili ya kutekeleza Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ambapo shilingi Milioni 600 zimetengwa na Serikali  kwa ajili ya kutekeleza Mradi huo ambapo mpaka sasa Halmashauri imepokea Shilingi Milioni 470.

Februari 3, 2022 kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mh.Onesmo Buswelu katika Ziara yake kukagua Utekelezaji wa Mradi huo aliipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kwa namna ambavyo inatekeleza kwa wakati mradi huo ambapo alitoa rai kwa Menejimenti ya Halmashauri,Kamati za Ujenzi na Mafundi wanaotekeleza mradi huo kutekeleza mradi huo kwa uaminifu mkubwa na kuepuka mazingira yeyote yanayoweza kuathiri utekelezaji wa mradi huo.

Aidha DC Buswelu Amewataka Mafundi kuepuka kuhujumu vifaa vya Ujenzi na badala yake kutekeleza mradi huo kama yalivyo makusudi ya Rais Samia Suluhu Hassan huku akimtaka mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kupanga vizuri timu za usimamizi ili kuepuka kukwama kwa mradi huo.

Ameeleza kuwa ni muhimu kwa mafundi kuhakikisha kuwa kunakuwepo na miundombinu muhimu kama Umeme ili kuhakikisha kuwa  wanatekeleza mradi huo usiku na mchana huku akimtaka Mhandisi wa Ujenzi Nsimbo kusimamia kwa karibu kazi hiyo kwa karibu zaidi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANANCHI NSIMBO WATAKIWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA

    May 01, 2025
  • WAFANYAKAZI WAPEWE MOTISHA KAZINI

    May 01, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NSIMBO LARIDHISHWA NA MIRADI YA MAENDELEO

    April 30, 2025
  • KAMISHNA WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA MAFUNZO YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI VYA BAYOMETRIKI (BVR KITS) KATIKA JIMBO LA NSIMBO

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa