Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Leo Tarehe 10/12/2024 ameshiriki hafla ya uzinduzi wa utoaji wa mikipo ya asilimia 10 kwa Vijana, Wanawake na Watu Wenye Ulemavu.
Halmashauri ya Nsimbo itatoa mikopo ya awamu ya kwanza baada ya dirisha kufunguliwa kwa Vikundi 20 ambavyo vimekidhi vigezo vya kukopeshwa.
"Serikali imefungua dirisha la mikopo ili kwenda kukuza uchumi mtu mmoja mmoja, makundi mbalimbali na Jamii kwa Ujumla" Alisema
Hafla hiyo imefanyika Katika Ukumbi wa Mpanda Social Hall ambapo Halmashauri zote za Mkoa wa Katavi zimeshiriki.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa