Afisa Mwandikishaji Jimbo la Uchaguzi Nsimbo anawatanganzia wananchi wa Nsimbo vituo vitakavyo tumika katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu ya wapiga kura kwa kila kata.
Kata ya Ibindi itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Ibindi na Shule ya Msingi Muungano
Kata ya Itenka itakuwa na vituo vitatu vya uboreshaji ambavyo ni Ofisi ya Kijiji Tumaini, Shule ya Msingi Itenka 'A' na Shule ya Msingi Itenka 'B'
kata ya Kanoge itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Ofisi ya Kijiji Kabuga na Shule ya Sekondari Kanoge
Kata ya Kapalala itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata na Shule ya Msingi Songambale
Kata ya Katumba itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Ofisi ya Kijiji Ivungwe B na Shule ya Sekondari Katumba
Kata ya Litapunga itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata na Ofisi ya Kijiji Kambuzi A
Kata ya Machimboni itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Katisunga na Shule ya Sekondari Machimboni
Kata ya Mtapenda itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Isinde na Shule ya Msingi Mtapenda.
Kata ya Nsimbo itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Isanjandugu na Shule ya Msingi Filimule
Kata ya Sitalike itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Magula na Zahanati ya Sitalike
Kata ya Ugalla itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Ugalla na Shule ya Msingi Mnyamasi
Kata ya Uruwira itakuwa na vituo viwili vya uboreshaji ambavyo ni Shule ya Msingi Uruwira na Shule ya Msingi Usense
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa