Imewekwa: August 12th, 2025
Bank ya CRDB Mkoani Katavi imetoa viti na meza sitini(60) kwa Shule ya Sekondari ya Wasichana Katavi iliyoko Wilayani Nsimbo Mkoani Katavi kwa lengo la kusaidia mkakati wa kukabiliana na upungufu wa s...
Imewekwa: August 5th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi imepokea kiasi cha shilingi Bilioni moja na Milioni kumi (1,010,000,000/=) kutoka Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimabali ya maendeleo...
Imewekwa: August 4th, 2025
Kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 2025, Wasimamizi wasaidizi ngazi ya Kata katika Jimbo la Nsimbo Mkoani Katavi wamepewa mafunzo elekezi yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoa...