• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

MKURUGENZI MTENDAJI AWATAKIA KHERI WATAHINIWA WA KIDATO CHA NNE

Imewekwa: November 11th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Nsimbo amewataka wanafuzi wa kidato cha nne kufanya mitihani yao katika hali ya utulivu kwa kuzingatia maadili ili kupata matokeo bora ambao yatajenga msingi mzuri kwa elimu yao ya juu na kwa mustakabali wao wa maisha ya baadaye

‘’ Ninawatakia kila la kheri kwenye mitihani yenu. Huu ni wakati wa kuonyesha matunda ya bidii na juhudi mlizoweka katika masomo yenu. Kumbukeni mtihani ni ni kipimo cha yale mliyofundishwa na kujifunza, kuweni, kila mmoja wenu ana uwezo wa kufanya vizuri fanyeni kila swali kwa umakini mafanikio yenu yanategemea nidhamu,utulivu, na juhudi zenu. Tunawaamini na tuna Imani mtang`ara’’

Mkurugenzi ameyasema hayo  wakati akizungumza na baadhi ya wanafunzi waliokua wakijiandaa kwa mitihani hiyo.  Aidha amesema kua wazazi, Walezi pamoja na Waalimu wanapaswa kuwapa wanafunzi ushirikiano mzuri katika kipindi hiki cha mitihani ambapo takribani wanafunzi mia nane arobaini na nane, wakiwempo wavulana 405 na wasichana 403 wanatarajiwa kufanya mitihani. Halamshauri ya Nsimbo Ina jumla ya shule Kumi na Nne (14) zinazotarajiwa kufanya mitihani hiyo ya Kitaifa.

Mitihani ya kidato cha nne ni hatua muhimu katiak mfumo wa elimu nchini Tanzania huamua kama mwanafunzi ataendelea katika na masomo ya juu zaidi ama program nyingine za mafunzo

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SAMIA DAY: KATAVI YAANDAA TAMASHA KUBWA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    July 02, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI BORA WA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE (LAAC)

    June 19, 2025
  • MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA WAZINDULIWA RASMI NSIMBO, MKOANI KATAVI

    June 09, 2025
  • KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    June 01, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa