• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI HALMASHAURI YA NSIMBO AFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA

Imewekwa: October 9th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo amekutana na viongozi wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 kwa lengo la kujadili utaratibu utakaotumika wakati wa uchaguzi. Vyama vilivyoshiriki mkutano huo ni CCM, CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, UDP, UMD, NCCR MAGEUZI na ADC. Katika mkutano huo, msimamizi wa Uchaguzi:-

  • ametoa elimu  juu ya uchaguzi wa viongozi ngazi za vijiji na vitongoji
  • ameelezea utaratibu utakaotumika kuandikisha wapiga kura kwenye orodha ya wapiga kura
  • amewaeleza sifa za wapiga kura na sifa za wagombea
  • amewapitisha kwenye orodha ya vijiji, vitongoji na vituo vitakavyohusika wakati wa uandikishaji na upigaji kura
  • ameelezea ratiba ya matukio yote muhimu hadi ya siku  ya uchaguzi

Aidha, katika mkutano huo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) pia ilitoa elimu ya rushwa kwa vyama na wagombea, ikisisitiza madhara ya rushwa katika mchakato wa uchaguzi. Afisa wa TAKUKURU Bw Leonald J.Minja, alibainisha kuwa vitendo vya rushwa vinaweza kupunguza uadilifu katika uchaguzi, kuvuruga demokrasia, na kupelekea kuchaguliwa kwa viongozi wasiowajibika kwa wananchi.

Aliwahimiza wagombea na wafuasi wa vyama kuwa mstari wa mbele kupinga rushwa na kutoa taarifa kwa mamlaka husika pale wanapoona vitendo vya rushwa vinavyojitokeza. Aidha, alitoa onyo kali kwa wale wanaopanga au kushiriki katika vitendo vya rushwa kwamba watachukuliwa hatua kali za kisheria kwa mujibu wa sheria za nchi. Aliwataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huu kwa uadilifu na uwazi, bila kuacha nafasi kwa rushwa kuvuruga mchakato wa kidemokrasia.

Aitha Msimamizi wa uchaguzi amewaomba viongozi wa vyama kuhakikisha wanaendelea kuhamasisha wananchi wajiandikishe kwenye daftari la mkazi  na mwisho ametoa wito kwa wananchi wote kushiriki kwa wingi na kwa amani katika zoezi hili muhimu la kidemokrasia ili kuchagua viongozi bora watakaowakilisha maslahi yao.

SERIKALI ZA MITAA, SAUTI YA WANANCHI, JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SAMIA DAY: KATAVI YAANDAA TAMASHA KUBWA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    July 02, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI BORA WA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE (LAAC)

    June 19, 2025
  • MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA WAZINDULIWA RASMI NSIMBO, MKOANI KATAVI

    June 09, 2025
  • KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    June 01, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa