• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

UFUNGUZI WA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE ORODHA YA WAPIGA KURA

Imewekwa: October 11th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya Nsimbo, ametangaza rasmi kuanza kwa zoezi la kujiandikisha kwa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa Viongozi wa serikali ya vijiji na vitongoji hapo tarehe 27/11/2024. Akiwa katika kituo cha Ofisi ya kijiji cha Isinde kitongoji cha Ikulu Amesema kuwa amejiandikisha mwenyewe kama ishara ya kuhamasisha wananchi wote wenye sifa kufika vituoni na kushiriki kikamilifu katika zoezi hili.

Msimamizi wa uchaguzi amesisitiza kuwa umuhimu wa wananchi kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuhakikisha kuwa wamejiandikisha mapema ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi ujao. "Kujiandikisha ni hatua muhimu kwa kila raia anayetaka kushiriki katika uchaguzi. Ni wajibu wa kila mmoja wetu kuhakikisha tunapata haki ya kupiga kura kwa kujiandikisha mapema," aliongeza kua hamasa bado inaendelea na vituo vyote viko vizuri na  zoezi hili halichukui muda mrefu ambapo baada ya kujiandikisha bado wananchi wanaweza kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

 Aidha ametoa ufafanuzi kua zoezi hili limeanza rasmi leo na litaendelea kwa muda wa siku 10 hadi tarehe Tarehe 21/10/2024]. Vituo vya kujiandikisha vipo wazi kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni kila siku, na wananchi wanahimizwa kufika mapema ili kuepuka msongamano wa siku za mwisho.

Wakati huohuo, msimamizi wa uchaguzi ameweka wazi kwamba wale ambao tayari wamejiandikisha wanapaswa kuhakiki taarifa zao na kufanya marekebisho yoyote yanayohitajika kipindi orodha itakapowekwa wazi.

Serikali inatoa wito kwa wananchi wote kushiriki kikamilifu ili kuhakikisha uchaguzi huru, haki, na wenye uwazi.

SERIKALI ZA MITAA, SAUTI YA WANANCHI, JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SAMIA DAY: KATAVI YAANDAA TAMASHA KUBWA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    July 02, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI BORA WA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE (LAAC)

    June 19, 2025
  • MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA WAZINDULIWA RASMI NSIMBO, MKOANI KATAVI

    June 09, 2025
  • KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    June 01, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa