• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Watumishi Nsimbo wapongezwa kwa kufanikisha mapokezi mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru 2021.

Imewekwa: September 28th, 2021

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wamepongezwa kwa jitihada mbalimbali walizofanya kufanikisha shughuli mbalimbali za maandalizi na mapokezi na hatimae makabidhiano ya mbio za Maalumu za Mwenge wa Uhuru 2021.

Pongezi hizo zimetolewa na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Bw.Salehe Msompola wakati wa ufunguzi wa  kikao cha Baraza Maalumu la Madiwani  kufunga Hesabu za Mwaka wa fedha 2020/2021.

Makamu Mwenyekiti Msompola amesema Mafanikio yaliyopatikana ya kufanikisha mapokeziz ya mbio maalumu za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu 2021 ni matokeo ya Watumishi waliounda Kamati mbalimbali kutekeleza kwa moyo mmoja na kwa uzalendo Majukumu mbalimbali waliyopangiwa na Mwenyekiti wa Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mh.Bi Jamila Yusuph Kimaro.

Kwa Upande wake Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ambae amekaimu Nafasi ya ukurugenzi katika kikao hicho  Malaumu cha Baraza la Madiwani Bi.Tabia Nzowa licha ya pongezi alizotoa amewataka Watumishi kutumia changamoto chache zilizojitokeza kujipanga vyema kwa ajili ya shughuli nyingine zijazo  za Mwenge wa Uhuru pamoja na Shughuli nyingine za Kitaifa kwakurekebisha changamoto hizo kusudi waweze kufanya vizuri zaidi.

Mwenge Maalumu wa Uhuru uliwasili na kupokelewa Nsimbo 24,Septemba 2021  ambapo ulizindua vyumba viwili vya  Madarasa pamoja na kuweka Jiwe la Msingi kituo cha Mafuta kilichopo Eneo la Isinde.

Aidha Mwenge Maalumu wa Uhuru ulizindua Kablu ya kupinga Rushwa katika Shule ya Sekondari Nsimbo na baadae kuelekea katika Viwanja vya Mkesha katika Viwanja vya Shule ya Msingi Kashato na baadae kukabidhiwa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika siku ya Tarehe 24 Septemba 2021.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • SAMIA DAY: KATAVI YAANDAA TAMASHA KUBWA KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    July 02, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI BORA WA MAAGIZO YA KAMATI YA BUNGE (LAAC)

    June 19, 2025
  • MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA WAZINDULIWA RASMI NSIMBO, MKOANI KATAVI

    June 09, 2025
  • KAMPENI YA MWEZI WA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    June 01, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa