Imewekwa: October 11th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya Nsimbo, ametangaza rasmi kuanza kwa zoezi la kujiandikisha kwa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa Viongozi wa serikali ya vijiji na vitongoji hapo tarehe 2...
Imewekwa: October 9th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo amekutana na viongozi wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 kwa lengo la kujadili utaratibu utakaotum...
Imewekwa: October 1st, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ametangaza kuwa fursa ya mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu imerejea. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nafasi hii ya kukopa ili k...