Friday 9th, May 2025
@Vituo vya kujiandikisha katika Kata
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wa jimbo la Nsimbo kuwa zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura limeanza rasmi tarehe 29 Aprili 2025 na zoezi la uboreshaji wa daftari litafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 1 Mei 2025 hadi tarehe 7 Mei 2025.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa