Ukaguzi wa ndani:
Kitengo cha ukaguzi wa ndani ambacho kimeanzishwa chini ya kifungu 45(1) cha sheria ya fedha ya mamlaka ya serikali za Mitaa na 13 ya mwaka 1982(section 45(1) of local authority finances act) ni moja kati ya vitengo vilivyopo chini ya ofisi ya Mkurugenzi mtendaji,
Kitengo cha ukaguzi wa ndani Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kinafanya kazi ya kukagua, kusimamia na kushauri mambo ya fedha na mifumo wa Halmashauri kwa ujumla ili kuhakikisha maslahi ya Halmashauri yanalindwa na kumshauri Afisa masuuli juu ya matumizi bora ya fedha za serikali na mfumo wa Halmashauri kwa ujumla
Watumishi wa Kitengo
Jina:David Makilile.
Cheo:Mkuu wa kitengo
Elimu:Ast
Mawasiliano:
Simu-+255754748264
Barua Pepe-davidebakilile@yahoo.co.uk
Jina:Gregory Milungu
Cheo:Mkaguzi wa ndani
Elimu:Shahada ya sanaa ya Usimamizi wa Biashara
(Chuo Kikuu Huria cha Tanzania)
Mawasiliano:
Simu:
+255767412637
Barua pepe -greymillungu@yahoo.com
Jina:Foedson Bernad Essero
Cheo:Mkaguzi wa ndani
Elimu:Shahada ya Uhasibu na Usimamizi wa fedha
(Chuo Kikuu cha Mtakatifu John-Tanzania)
Mawasiliano:
Simu: +255713293118
Barua pepe -ford7essero@gmail.com
KAZI NA MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI
Kufanya ufuatiliaji, Ukaguzi na usimamizi wa fedha zote zinazokusanywa na zinazopokelewa na Halmashauri
Kuhakikisha kuwa sera za matumizi ya fedha za serikali zinafuatwa kikamilifu kama zilivyo ainishwa kwenye mamlaka za serikali za mitaa na sera nyinginezo za matumizi ya fedha.
Kufanya Ukaguzi wa matumizi ya ankara zote za Halmashauri kila robo mwaka na kuandaa ripoti kwa afisa masuuli kabla ya tarehe 15 ya mwezi unaofuata robo husika.
Kufanya ukaguzi wa miradi na mali zote za Halmashauri na kuhakiki uwepo thamani ya fedha( Value for money)
Kupitia na kuangalia utendaji na mfumo wa kila siku wa halmashauri na kuangalia kama unatekelezwa.
Kuandaa mpango kazi wa kitengo cha ukaguzi na kuuwasilisha katika kamati ya ukaguzi na kwa Afisa Masuuli.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa