WASIFU WA KITENGO CHA NYUKI:
Kitengo cha Nyuki ni moja kati ya Vitengo 6 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.Kitengo hikikinabeba kinajukumu la Usimamizi Uratibu na Ufuatiliaji wa mazao ya Nyuki ndani ya Halmashauri,Awali Kitengo hiki kilikuwa sehemu ya Idara ya Ardhi na Maliasili.
Kitengo cha Nyuki kinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria,Kanuni na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Ofisi ya Raisi TAMISEMI,Wizara ya Maliasili na Utalii,pamoja na Wadau mbalimbali wa Maendeleo.
Wataalamu wa Idara:
Wataalamu wa Kitengo cha Nyuki Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ni kama ifuatavyo;
Jina:Said Abdallah Mpumbi
Cheo:Kaimu Mkuu wa Kitengo
Elimu:Stashahada ya Ufugaji Nyuki-(Chuo cha Nyuki Tabora)
Mawasiliano:
Simu: +255742778079
Barua pepe: saidabdallah65@gmail.com
Majukumu ya Kitengo cha Nyuki
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa