WASIFU WA IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA
Idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo inabeba jukmu kubwa la usimamizi wa rasilimali watu pamoja na usimaimizi wa maeneo yote ya Kiutawala ndani ya Halmashauri.
Idara inatekeleza majukumu yake ya kila siku kwa kuzingaita Sheria,Kanuni Taratibu pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na Ofisi ya Rais Utumishi.
Watumishi wa Idara ya Utawala
Jina: Tabia Nzowa
Cheo:Mkuu wa Idara
Jina:James Kombo Masyenene
Cheo:Afisa Tawala
Jina:Samora Katiti
Cheo:Afisa Utumishi
Majukumu ya Idara
Kiufupi Idara ya Utumishi na Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Nsimboinatekeleza majukumu yafuatayo;
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa