HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO-MKOA WA KATAVI
WASIFU WA IDARA YA FEDHA NA BIASHARA
Idara ya Fedha na Biashara halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ni idara inayoundwa na maeneo mawili ya kiutendaji ambayo ni fedha na biashara. Idara ina jukumu la Kusimamia na kutoa ushauri wa kifedha kwa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, idara inatekeleza wajibu wa Kusimamia zoezi la uandaaji wa Makisio (Bajeti) kwa kushirikiana na wakuu wa idara wengineo, pia Kusimamia matumizi yanayoendana na thamani ya fedha na uwekezaji wa miradi mbalimbali. Katika mapato ya halmashauri idara, inasimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kama ilivyokadiliwa katika bajeti ya mwaka ya Halmashauri. Pia idara ina jukumu la kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa vyanzo vya mapato, idara inaadaa taarifa ya mapato na matumizi ya kila mwezi kwa kamati ya Fedha, uongozi na Mipango. Katika eneo la biashara idara inasimamia shughuli za biashara kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizopo. Kusimamia zoezi la uandaaji wa taarifa ya LAAC kwa ajili ya uwasilishaji kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mwisho, idara pia inafanya shughuli zinazoelekezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya.
WATAALAMU WA IDARA FEDHA NA BIASHARA
Kaimu Mkuu wa idara ya Fedha na Biashara
CPA(T) Joseph M. Assenga
Cheo: Kaimu Mkuu wa Idara ya Fedha na Biashara
Elimu: Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara
(Chuo kikuu cha Mzumbe)
Mawasliano:
Simu-+255 755 535 752
Email:
(a)Fedha
Elimu: Stashahada ya Uzamili ya Uhasibu Elimu: Shahada ya uzamili ya Uhasibu
(Taasisi ya Uhasibu Arusha) (Chuo kikuu cha Mzumbe)
Mawasiliano Mawasiliano;
Simu: +255 767 444 723 Simu: +255 763 757 210
Email: Email: ewesu2007@yahoo.com
Dorgan M. John Seiph J Kitambwa Cheo: Mhasibu msaidizi Cheo: Mhasibu msaidizi
Elimu: Stashahada ya fedha na uhasibu Elimu: Stashahada ya Fedha
(Chuo cha Local gvt training institute-hombolo) (Chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala)
Mawasiliano; Mawasiliano;
Simu:+255 765 053 529 Simu; +255 753 768 487
Email: dorgan126@gmail.com
Mayasa B. Ally Pius S .Amos
Cheo: Mhasibu II Cheo: Mhasibu msaidizi
Elimu: Shahada ya Uhasibu Elimu: Shahada ya Elimu ya sanaa
(Chuo cha Usimamizi wa fedha) (ChuoKuu cha Teofilo Kisanji )
Mawasiliano: Mawasiliano;
Simu: +255 717 173 117 Simu; +255 759 627 301
Email; yshmaya9@gmail.com
Ali H. Omar Faidha I. Njiku
Cheo: Mhasibu msaidizi Cheo: Mhasibu II
Elimu:Stashahada ya utawala wa Fedha-Uhasibu Elimu: Stashahada ya Juu ya uhasibu na Fedh (Chuo cha Uongozi wa Fedha-Zanzibar) (Chuo Kikuu cha Mt. Agustino-Mwanza)
Mawasiano; Mawasiliano;
Simu: +255 672 149 018 Simu; +255 752 388 352/719 118 789
Email:ibrahimfaidha@gmail.com
Elimu:Shahada ya kwanza, Utawala wa Biashara (Chuo Kikuu cha Tumaini-Makumira-SMMUCo)
(Chuo Kikuu cha Dodoma-UDOM) Mawasiliano;
Mawasliano: Simu +255 784 450 545
Simu +255 684 523 744 Email: revomdzo@yahoo.com
Email: nfanikio@yahoo.com
(a) Fedha
Kuandaa taarifa ya mapato na matumizi ya kila mwezi kwa kamati ya Fedha,uongozi na Mipango.
Kusimamia na kutoa ushauri wa fedha kwa Halmashauri ya Wilaya Nsimbo.
Kusimamia zoezi la uandaaji wa Makisio (Bajeti) kwa kushirikiana na idara nyingine.
Kusimamia matumizi yanayoendana na thamani ya fedha na uwekezaji wa miradi mbalimbali.
Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri kama ilivyokadiriwa katika bajeti ya mwaka ya Halmashauri.
Kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa vyanzo hivyo vya mapato.
Kuandaa taarifa ya LAAC kwa ajili ya uwasilishaji kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)
Kufanya shughuli nyinginezo zitakazopangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Nsimbo.
(b)Biashara
Kufanya shughuli nyinginezo zitakazopangwa na Mkuu wa Idara ya Fedha na Biashara wa Halmashauri Wilaya.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa