• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Habari,Mawasiliano,TEHAMA na Uhusiano

KITENGO CHA HABARI MAWASILIANO TEHAMA NA UHUSIANO HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO

Utangulizi.

Kitengo cha Habari Mawasiliano TEHAMA na Uhusiano Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sera ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2003,Sheria mpya  ya Huduma za Habari ya mwaka2016,Sheria ya Utangazaji Na. 6 ya Mwaka 1993,pamoja na miongozo mbalimbali inayotolewa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania, Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo .

Wataalamu wa Kitengo.

Wataalamu wa Kitengo cha Habari Mawasiliano TEHAMA na Uhusiano Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ni kama inavyoonekana katika Jendwali hapo chini;


Jina:John A.Mganga

Cheo: Afisa Habari  na Kaimu Mkuu wa Kitengo.

Elimu:Shahada ya Kwanza ya Habari

(Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Iringa-kwa sasa  University of Iringa)

 

Mawasiliano:

Simu:0746310716

Barua pepe: jhndoctor@gmail.com


 



Jina:Alfred Nixon Igoko

Cheo:Afisa TEHAMA

Elimu:Shahada ya Sayansi ya Kompyuta

(Chuo Kikuu Kishiriki Ruaha-Kwa sasa Chuo cha Katoliki Ruaha)

Mawasiliano: 0755680493

Barua pepe:nickyalfred43@gmail.com

Majukumu ya Kitengo.

  • Kusimamia na kuhuisha Mifumo yote ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
  • Kushauri na kusimamia matumizi sahihi na salama ya Vifaa vya TEHAMA vya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
  • Kushauri kuhusu masuala yote yahabari na mawasiliano ndani ya Halmashauri
  • Kuratibu na kusimamia shughuli mbalimbali za waandishi wa Habari ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
  • Kuanzisha kuhuisha na kusimamia tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
  • Kuandaa taarifa kwa Umma na kwa vyombo vya Habari kwa lengo la kufikisha taarifa sahihi kwa wakati sahihi kwa Wananchi
  • Kuandaa Bajeti ya Kitengo cha TEHAMA ndani ya Halmashauri kulingana na mahitaji kwa kuzingatia kasi ya ukuaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
  • Kutoa msaada wa Kiufundi   katika Vifaa vya TEHAMA kwa Idara za Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
  • Kuandaa Sera ya Halmashauri na kuihuisha mara kwa mara kulingana na mahitaji

Matangazo

  • MAFUNZO YA SENSA KWA WALIOCHAGULIWA KWENYE KAZI YA MUDA YA TEHAMA, UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA July 28, 2022
  • ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KWENYE KAZI YA MUDA YA UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA July 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 26, 2022
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,SHULE YA SEKONDARI NSIMBO MWAKA WA MASOMO 2022/2023 April 08, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • UZINDUZI WA KAMPENI YA UPANDAJI MITI 1,500,000 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO

    January 25, 2023
  • MILIONI MIA MOJA NA TISA ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    June 29, 2022
  • Kamati za Sensa za Vitongoji, Vijiji na Kata Nsimbo wajengewa uwezo wa kutekeleza majukumu yao

    May 27, 2022
  • DED awashukia Watendaji Nsimbo, Awataka kuacha Visingizio,kukamiilisha miradi ndani ya muda uliopangwa.

    April 21, 2022
  • Angalia zote

Video

ZIara ya Naibu Waziri OR TAMISEMI Mh.David Silinde kukagua Ujenzi wa Madarasa Nsimbo DC
Video zaidi

Quick Links

  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa
  • Orodha ya waheshimiwa madiwani
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Video mbalimbali
  • Muundo wa Halmashauri
  • Picha mbalimbali
  • Fomu mbalimbali

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa