• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Mipango,Takwimu na ufuatiliaji


WASIFU WA IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI

Idara ya Miapngo Takwimu na Ufuatiliaji Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo inabeba  jukumu kubwa la usimamizi uratibu, ufuatiliaji, pamoja na uandaaji wa Mpango na  Bajeti ya  Halmashauri kwa mujibu wa Sera na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango,Ofisi ya Rais TAMISEMI,Sekretarieti za Mikoa pamoja na Wadau mbalimbali wa Maendeleo.

Wataalamu wa Idara

Na
JINA
CHEO
ELIMU
CHUO
MAWASILIANO
1
Ferdinand Filimbi
Mkuu wa Idara ya Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
Post Graduate Diploma in Regional Planning
Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini-Dodoma
Simu-+255786743749
Email:filimbiferdinand@yahoo.com

2
Fowahed  Fedes Budoga
Mchumi Daraja II
Shahada ya kwanza ya Sanaa katika Uchumi.
Chuo Kikuu cha Dar es salaam
 +255758232724
bfowahed@gmail.com

3
Hezbon O. Magesi
Mchumi II
Shahada ya kwanza ya Uchumi katika Maendele
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere- Dar es salaam
Simu: +255787852410
E-Mail- hezbonmagesi@gmail.com
4
Scholastika Njovu
Mchumi II
Shahada ya kwanza ya Idadi ya watu na Mipango ya Maendeleo
Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini-Dodoma
+255757722064
 njovuscholastika@yahoo.com
5
Agnes S. Morilo
Personal Secretary I
Certificate in Secretarial Services
Chuo cha Utumishi wa Umma-Tabora


Majukumu ya Idara:

  1. Kuandaa Mpango kazi wa Halmashauri(Council Action Plan) katika mafungu ya OC,OS na DEV.
  2. Kuandaa Cash Flow ya Halmashauri katika Mafungu ya OS, OC na DEV
  3. uandaa taarifa ya Utekelezaji na Mpango wa Ilani ya Uchaguzi
  4. Kuandaa Wasifu wa Halmashauri ( Socio-economic Profile)
  5. Kuandaa Pato la Halmashauri na Mkoa wa Katavi
  6. Kuandaa Mpango Mkakati wa Halmashauri
  7. Kuandaa Wasifu wa Uwekezaji wa Halmashauri ( Council Investment Profile)
  8. Kukagua uwepo wa nguvu za wananchi katika maeneo ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo
  9. Kufanya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Kata na Vijiji.
  10. Kupata mafunzo ya mabadiliko ya mfumo wa PLANREP
  11. Kuviwezesha vijiji na kata kuibua miradi yao ya maendeleo katika Mpango wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo( O & OD).
  12. Kuandaa Mpango wa Kati wa Bajeti MTEF ya Halmashauri.
  13. uwasilisha Mapendekezo ya MTEF katika vikao vya Halmashauri, Baraza la wafanyakazi na DCC.
  14. uwasilisha Mpango wa Kati wa Bajeti MTEF Hazina naTamisemi.
  15. uandaa taarifa za tathmini za Halmashauri  (Assessment).
  16. Kuandaa taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kila Robo ya Mwaka.
  17. Kuandaa taarifa ya maendeleo ya Halmashauri CDR kwa kila robo ya Mwaka.
  18. Kutekeleza maagizo mbalimbali ya dharura.
  19.  Kuingiza takwimu za halmashauri katika mfumo wa LGMD.
  20.  Kuandaa taarifa ya mafanikio ya mwaka 1 ya Halmashauri.
  21.  Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi.
  22. Kufanya vikao vya maendeleo na wadau wa Halmashauri NGOs, Asasi za serikali na AZAKI na Makampuni juu ya   kuimarisha Halmashauri .
  23. Kuaandaa maandiko mablimbali ya Halmashauri.
  24. uandaa sera mbalimbali za Halmashauri.
  25. Kuandaa taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Mkoa wa Katavi.

Matangazo

  • MAFUNZO YA SENSA KWA WALIOCHAGULIWA KWENYE KAZI YA MUDA YA TEHAMA, UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA July 28, 2022
  • ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KWENYE KAZI YA MUDA YA UKARANI NA USIMAMIZI WA SENSA July 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI July 26, 2022
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,SHULE YA SEKONDARI NSIMBO MWAKA WA MASOMO 2022/2023 April 08, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • UZINDUZI WA KAMPENI YA UPANDAJI MITI 1,500,000 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO

    January 25, 2023
  • MILIONI MIA MOJA NA TISA ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA MWAKA WA FEDHA 2021/2022

    June 29, 2022
  • Kamati za Sensa za Vitongoji, Vijiji na Kata Nsimbo wajengewa uwezo wa kutekeleza majukumu yao

    May 27, 2022
  • DED awashukia Watendaji Nsimbo, Awataka kuacha Visingizio,kukamiilisha miradi ndani ya muda uliopangwa.

    April 21, 2022
  • Angalia zote

Video

ZIara ya Naibu Waziri OR TAMISEMI Mh.David Silinde kukagua Ujenzi wa Madarasa Nsimbo DC
Video zaidi

Quick Links

  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa
  • Orodha ya waheshimiwa madiwani
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Video mbalimbali
  • Muundo wa Halmashauri
  • Picha mbalimbali
  • Fomu mbalimbali

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa