Saturday 18th, October 2025
@MAPOKEZI NSIMBO SEKONDARI MKESHA STANDI YA MAGULA'
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mhe. Jamila Yusuph Kimaro anawatangazia Wananchi wote kuwa Halmashauri ya Nsimbo itapokea Mbio za Mwenge wa Uhuru tarehe 25/09/2025 katika Kata ya Mtapenda Shule ya Sekondari Nsimbo kuanzia saa 11 Alfajiri. Mwenge wa Uhuru Ukiwa Nsimbo Utakimbizwa, Utatembelea na Kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo, Mwenge wa Uhuru utakesha katika eneo la Stendi ya Magula Kata ya Sitalike. KAULI MBIU: Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu. Wote mnakaribishwa ukipata ujumbe huu mjulishe na mwenzako
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa