• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO MGUU SAWA KUTOA HUDUMA ZOTE MUHIMU

Imewekwa: February 17th, 2026

Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi imejidhatiti kutoa hudumu zote muhimu za afya hasa baada ya kukamilika kwa miundombinu mbalimbali na muhimu inayowezesha utoaji wa huduma za afya.

Hayo yamebainishwa hivi karibuni na mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt Patrick Tulyanje wakati akifanya mahojiano maalum na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.

Dkt. Tulyanje amezitaja baadhi ya huduma zinazotolewa katika Hospitali hiyo ni pamoja na huduma ya wagonjwa wa nje (OPD), huduma ya dharura, maabara, mionzi, huduma kwa mama na mtoto, RCH, huduma ya kuhifadhi maiti (Mortuary) pamoja na huduma zingine mihimu.

Hivi karibuni kwa mara ya kwanza hospitali hiyo imefanikiwa kutoa huduma ya upasuaji wa dharura kwa wanawake wawili wajawazito waliopata changamoto za kujifungua kwa njia ya kawaida na kutekeleza huduma hiyo kwa ufanisi wa hali ya juu.

Kwa upande wao, baadhi ya wananchi waliofika kupata huduma za afya katika Hospiatali hiyo wameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayooongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha huduma ya afya inapatikana katika maeneo yao, huku wakiipongeza huduma nzuri inayotolewa na wahudumu wa afya katika Hospitali hiyo. Bi. Delphina Mshanga na Bw. Peter Hoja ni mingoni mwa wananchi walipata wasaa wa kuzungumza nasi.

“Kiukweli tunaishukuru sana serikali kwa kutusogezea huduma ya afya karibu kwasababu isingekuwa hii tungekuwa tunapata changamoto kubwa sana, tungekuwa tunasafiri umbali mrefu kwenda kufuata huduma kama hii………” Amesema Bi. Delphina Mshanga, mmoja wa wananchi waliofika Hospitalini hapo kupata huduma ya afya.

Bw. Peter Hoja amesema anaishukuru serikali kwakuwa inafanya kazi nzuri sana katika utoaji wa huduma kwa wananchi huku akiwashukuru wahudumu kwa mapokezi mazuri na huduma nzuri alizopatiwa ndugu yake tangu alipofika Hospitalini hapo.

“mpaka sasa hivi naishukuru sana hii serikali, serikali imefanya kazi nzuri ya kutuletea huduma ……….”  Amesema bwa Peter Hoja

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA UKUSANYAJI WA MAPATO February 02, 2026
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA MRADI WA KITUO CHA AFYA IBINDI August 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA November 13, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO MGUU SAWA KUTOA HUDUMA ZOTE MUHIMU

    February 17, 2026
  • HOSPITALI YA WILAYA YA NSIMBO YATOA HUDUMA YA UPASUAJI KWA MARA YA KWANZA

    February 12, 2026
  • ZOEZI LA UHAKIKI NA UGAWAJI KADI ZA BIMA YA AFYA LAANZA RASMI NSIMBO

    February 06, 2026
  • HAKIKISHEN MNAWAWEZESHA VIJANA KIUCHUMI-DC MPANDA

    January 22, 2026
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa