• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

KATAVI YAPANDA MITI MILIONI

Imewekwa: April 29th, 2023

Serikali ya katika mkoa wa Katavi imesema zoezi la upandaji miti ambalo limeanza toka Mwezi wa February Mwaka huu katika Halmashauri za mkoa wa Katavi limeeweza kufanikiwa kwa kwa kiasi kikubwa ambapo hadi sasa Miti Milioni Sita imewezwa kupandwa katika maeneo Mbalimbali ya Taasisi za Umma na kwenye makazi ya Watu.

Wananchi na wadau mbalimbali wa mazingira wakishiriki zoezi la upandaji miti katika eneo la shule ya Msingi Isinde Halmashauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi.

Serikali ya katika mkoa wa Katavi imesema zoezi la upandaji miti ambalo limeanza toka Mwezi wa February Mwaka huu katika Halmashauri za mkoa wa Katavi limeeweza kufanikiwa kwa kwa kiasi kikubwa ambapo hadi sasa Miti Milioni Sita imewezwa kupandwa katika maeneo Mbalimbali ya Taasisi za Umma na kwenye makazi ya Watu.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amebainisha hayo wakati akizungumnza na wananchi wa Kijiji Cha Isinde Halmashauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi ikiwa ni Sehemu ya maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya shughuli za upandaji miti katika Shule ya Msingi Isinde.

amesema kuwa tangu Shughuli Mbalimbali za upandaji wa miti zianze katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Katavi hadi sasa kuna miti zaidi ya Milioni 6 imepandwa katika mkoa wa Katavi ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Maagizo ya viongozi wa juu ya suala la utunzaji wa Mazingira

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo Mohamed Ramadhani amsema kuwa halmashauri hiyo imekuwa ikitekeleza agizo la Upandaji miti kwa kupanda miti katika sehemu mbalmbali za Halmashauri ya Nsimbo

‘’kwaajili ya kupendezesha mji wetu kata hii ya Mtapenda nimiongoni mwa maeneo ambayo yamepagwa ukitoka manispaa ya Mpanda mpaka kufika hapa hapa katikati pote panaendelea kupimmwa na kupangwa barabara hii kutoka Nsimbo sekondari mpaka hapa Isinde hadi makao makuu ya kata ni karibu kilomita Sita na barabara hii inayopitia Mtapenda kwenda Manispaa tumepanda miti hivyo baada ya muda tutakuwa tunapita kwenye kivuli kupitia miti tuliyoipanda’’ amsema Mohamed.

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua     Mrindoko akimwagilizia Maji Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe Baada ya kushiriki zoezi la kupanda Mti Katika shule ya Sekondari Anna Lupembe iliyopo halmashauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe ambae pia ni Makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mazingira na Maji amesema kuwa kamati hiyo imekuwa ikisistiza suala la uhifafadhi wa mazingira ikiwa nipamoja na Upandaji wa Miti.


Mimi kama makamu mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Maji na Mazingira nimeona tuanze hapa leo Isinde kwa kupanda miti ili kutunza Mazingira amesma Anna Lupembe Mbunge wa jimbo la Nsimbo kwenye zoezi Hilo.

Zoezi la upandaji miti limefanyika katika shule ya Msingi Isinde na Shule ya Sekondari Anna Lupembe ambapo zaidi ya Miti 800 imeweza kupadwa kwenye zoezi hilo.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU February 25, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 20, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 01, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANANCHI NSIMBO WATAKIWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA

    May 01, 2025
  • WAFANYAKAZI WAPEWE MOTISHA KAZINI

    May 01, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI NSIMBO LARIDHISHWA NA MIRADI YA MAENDELEO

    April 30, 2025
  • KAMISHNA WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA MAFUNZO YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI VYA BAYOMETRIKI (BVR KITS) KATIKA JIMBO LA NSIMBO

    April 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa