Uongozi wa Halmashauri ya Nsimbo unawatakia heri Wanawake na Wasichana wote katika kuelekea siku ya Wanawake Duniani Tarehe 8/3/2025. Uongozi unatambua na kuthamini mchago mkubwa wa Wanawake na Wasichana katika kujenga jamii bora na kukuza uchumi wa Hamashauri na Taifa. Kwa pamoja tudumishe kauli Mbiu ya Wanawake na Wasichana 2025, Tuimarishe Haki, Usawa na Uwekezaji.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa