• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe |
Nsimbo District Council
Nsimbo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Habari ,Mawasiliano,TEHAMA na uhusiano
      • ununuzi na ugavi
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango,Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji na Udhibiti wa maji taka
      • Kilimo,umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Mazingira na udhibiti wa taka ngumu
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Elimu Msingi
  • Madiwani
    • Madiwani
  • Miradi
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shuguli za ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Jarida Mtandao la wiki la Halmashauri

Mil.140 kujenga vyumba vya Madarasa Kijiji cha Mtambo Nsimbo,Wananchi wahimizwa kuchangia nguvu kazi.

Imewekwa: November 3rd, 2021

Pichani;Mtendaji wa Kata ya Katumba Bw.Revocatus Mapula  mkutanoni akiwahamasisha Wananchi wa Kijjiji cha Mtambo kushiriki katika uchangiaji nguvu kazi katika Ujenzi wa madarasa katika Shule shikizi zilizopokea Fedha za UVIKO 19 

Na: John Mganga-IO

Wananchi wa Kijiji cha Mtambo kilichopo Kata ya Katumba Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wametakiwa kujitoa kwa hali na mali kushiriki kikamilifu kuchangia nguvu kazi katika Ujenzi wa Vyumba vya madarasa ili kuunga mkono jitihada za Serikali kuboresha Miundombinu ya Elimu.

Shilingi Milioni Mia Moja Arobaini zinatarajia kutumika kwa ajili ya Ujenzi wa vyumba vya madarasa 7 katika Shule shikizi pamoja na utengenezaji wa madawati katika Kijiji cha Mtambo kilichopo Kata ya Katumba Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.

Fedha hizo zimetokana na Mgao wa Shilingi Bil 2.55 zilizotolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo na Serikali kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa UVIKO 19.

Mtendaji wa Kata ya Katumba Bw.Revocatus Mapula amewaambia Wananchi wa Kijijij cha Mtambo kuwa Serikali imetoa fedha hizo kwa ajili ya Ujenzi wa Vyumba 7 vya madarasa katika Shule Shikizi  ikiwa ni utekelezaji wa azma yake  kuondoa kabisa  changamoto ya Wanafunzi wanaosoma  mbali na nyumbani.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA KIDATO CHA KWANZA 2026 December 04, 2025
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA SHULE MBALIMBALI September 16, 2024
  • MICHORO YA RAMANI KWA ZABUNI ZILIZOTANGAZWA KATIKA MRADI WA KITUO CHA AFYA IBINDI August 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA November 13, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC MRINDOKO AHIMIZA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO – NSIMBO DC

    December 17, 2025
  • KAMATI YA SIASA MPANDA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO H/W NSIMBO

    December 19, 2025
  • DC MPANDA AHIMIZA UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI WA AWALI NA MSINGI

    December 10, 2025
  • NSIMBO YAJIDHATITI KUSIMAMIA VIZURI MIRADI YA MAENDELEO - WAKANDARASI WAAGIZWA KUONGEZA KASI.

    December 04, 2025
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Quick Links

  • Mfumo wa Tausi Portal
  • Watumishi Portal
  • Wezesha Portal
  • Mfumo wa FFARS
  • Mfumo wa PLANREP
  • Mfumo wa SIS
  • Kupata matokeo ya kidato cha nne ingia hapa

Kurasa zinazohusana

  • President's Office
  • Tanzania Government Portal
  • Public service Management
  • Public Service Recruitment
  • PO- RALG

World visitors tracker

world map hits counter

Hesabu ya waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Mpanda to Tabora road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda

    Simu : 025 295 5164

    Simu: 025 295 5164

    Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Malalamiko
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa