Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kwa usimamizi mzuri wa miradi ya ujenzi wa madarasa inayoendelea kutekelezwa Nchi Nzima kutokana na fedha zilizotolea kwa ajili ya Ustawi wa Taifa mapambano ya UVIKO 19.
Naibu Waziri Silinde ametoa pongezi hizo katika ziara yake Nsimbo alipotembelea na kukagua hali ya Ujenzi katika kituo Shikizi Magula ambapo Ujenzi wa Vtyumba Viwili vya madarasa unaendelea kwa kasi ya kuridhisha.
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa