Wednesday 15th, January 2025
@SITALIKE SHULE YA MSINGI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Eng. Stephano Bulili Kaliwa anawakaribisha wananchi wote kushiriki kukimbiza mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2024 ambao utapokelewa katika kijiji cha Misheni A katika kata ya Uruwira na kukimbizwa kukagua, kufungua na kutembelea miradi ya maendeleo, klabu za mapambano dhidi ya madawa ya kulevya, kablu za kudhibiti rushwa pamoja na kutembelea kongamano la vijana enelo la mkesha wa Mwenge wa Uhuru shule ya Msingi Sitalike. Wananchi wote Mnakaribishwa
Mpanda to Tabora road
Anuani ya Posta: P.O.Box 688 Mpanda
Simu : 025 295 5164
Simu: 025 295 5164
Barua pepe: ded@nsimbodc.go.tz
Hatimiliki@2016GWF.Haki zote zimehifadhiwa