Imewekwa: December 8th, 2023
Katika kuadhimisha miaka sitini na mbili ya Uhuru, (62), ambapo katika maadhimisho hayo Watumishi wa Halmashauri wameadhimisha kwa kupanda miti mia sita katika Hospitali ya wilaya ya Nsimbo.
Aidha ...
Imewekwa: November 21st, 2023
Madiwani wa Halmashauri ya Nsimbo wamesema kutokana na ziara yao ya kuongeza uwezo wa kuisimamia maswala ya kiutawala kwenye Halmashauri, kubuni vyanzo vya mapato na Kwenda kutembelea bandari ya Tanga...
Imewekwa: September 13th, 2023
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo washauriwa kupanda miti ya matunda kwenye kaya zao ili kuongeza upatikaji wa vyakula vya matunda na kuwezesha kaya kuwa na uhakika wa kupata Makundi matano ...