Imewekwa: October 4th, 2021
Pichani:Wananchi katika Kata ya Kanoge wakiwa wamepanga foleni kwa ajili ya kupata chanjo ya UVIKO 19 wakati Mtaalamu wa Afya kutoka Kituo cha Afya Kanoge akiendelea kuwapatia Chanjo.
Idadi k...
Imewekwa: October 1st, 2021
Katika jitihada za kuinua uzalishaji wa zao la Karanga kwa wakulima, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo inatarajia kusambaza Mbegu bora ya zao la karanga kwa wakulima wa zao hilo ili kuinua uzalishaji na...
Imewekwa: October 1st, 2021
Mfano wa Kitalu nyumba kinachoendelea kuandaliwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ili kutoa fursa kwa Wakulima wa Matunda na mbogamboga Nsimbo kujifunza katika Kituo cha Elimu ya Kilimo Nsimbo.
...