Imewekwa: March 31st, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo imekua ikitekeleza afua mbalimbali za Lishe kwa kufuata mwongozo wa Taifa wa Lishe, Mpango jumuishi wa Taifa wa pili (2021/2022-2025/26) pamoja na sera mbalimbali za nc...
Imewekwa: March 30th, 2023
Katika mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri ilikadiria kukusanya kiasi cha Tsh. 1,021,980,000 na kutenga asilimia 10 ya mapato hayo ambayo ni Tshs 102,198,000 kwa ajili ya Mfuko wa Wanawake,...
Imewekwa: January 25th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mheshimiwa Filbert H. Sanga ameongoza kampeni ya upandaji miti katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo akiwa ni mgeni Rasmi katika uzinduzi wa kampeni hiyo katika chanzo cha Mto...