Pichani:Moja kati ya Mashamba ya Pamba katika Kijiji cha Mtapenda Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo likionekana lenye kustawi kutokana na Udogo wenye Rutuba na Wakulima kufuata ushauri wa wataalam wa kilimo katika Kata hiyo.Zao la Pamba ni moja kati ya mazao mapya yaliyoanzishwa katika Msimu wa Kilimo 2017/2018. ">
Posted on: January 6th, 2021
Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh.Juma Zuberi Homera( Mbele katikati) akiwa katika ukaguzi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Nsimbo ulioko katika hatua za mwisho kukamilika katika eneo la Isi...